Tuzo za ngumu wasanii walikuwa hawatabiriki, wengine watumia nafasi hiyokutoa yaliyo ya moyoni, ila waliotwaa walikuwa kamahivi ifuatavyo...
KILI MUSIC AWARDS 2012
1.Arusha Gold-wimbo bora wa Raggae 2.maneno maneno-queen darling ,wimbo bora wa,dance hall 3.Ally Kiba-dushelele,wimbo bora wa zouk rumbaa 4.vifudu tundu-At,wimbo bora vionjo vya asili 5.Nani kama Mama-Isha,Wimbo bora wa taarab 6.Dunia daraja-Africa Stars,Wimbo bora wa Bendi 7.Hakunaga-Sumalee.wimbo bora wa Afro pop 8.My number One fan-Ben Paul,Wimbo bora wa RnB 9.ROMA-MATHEMATIC,Wimbo bora wa HipHOP 10.Ommy dipoz,NgaiNGAI.MSANII bora ANAECHUPUKIA 11.Kitololo,Rapper bora wa Bendi 12.Romaa Mkatoliki.Msanii Bora wa HipHOP 13.Ommy dimpoz Ft ali Kiba-nai nai wimbo bora kwa Kushirikiana 14.Kigeugeu-Janguar,Wimbo bora wa Africa mashariki 15..Khadija Kopa-Mtumbwizaji wa Kike 16..Diamond-Mtubwizaji bora wa kiume 17.Diamond-Mtunzi Bora wa mwaka 18.Maneck-Mtarishaji Bora wa mwaka 19.Diamond-moyo wangu,Video bora ya Mwaka 20.Hakunaga-Sumalee,wimbo bora wa Mwaka 21.Lady jay dee-Mwimbaji bora wakike, |
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment