Nyota wa Chalsea Didier Drogba jana aliwainua kimasomaso mashabiki wa Chalsea kwa kutikisa nyavu za wapinzani wao Barcelona katika mechi ya kuwania kuingia nusu fainali. Drogba hakucheza makosa kwenye kipindi cha kwanza, na hatmaye aliandikia bao la kwanza na la mwisho timu yake. |
No comments:
Post a Comment