Kwa mara ya kwanza jana muingizaji muigizaji wa filamu bongo
ELIZABERTH MICHAEL (LULU) alizindua FILAMU yake iliyokua ikisubiriwa na wengi sana,
"FOOLISH AGE" pale
MLIMAN CITY ,uzinduzi ulifana vilivyo hasa pale ilipoimbwa wimbo wa Lady Jide "
YAHAYA" zifuatazo ni baadhi ya picha katika uzinduzi huo:
|
madam |
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment