Yobnesh Yussuph maarufu kama
BATULI ni mmoja kati ya wasichana wanaofanya filamu hapa nchini Tanzania.Weekend hii alionekana katika uzinduzi wa Filamu
"FOOLISH AGE" ya msanii mwenzake
Elizabeth Michael (Lulu), Batuli alipata kupiga story mbili tatu na Mtandao wa
BONGO5 kuhusiana na Mipango, Mikakati, pamoja na Changamoto alizonazo katika tasnia hii ya Filamu Tz hasa ukizingatia kua yeye ni mrembo pia:
Angalia mahojiano hayo kwa njia ya Video:
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment