Mwigizaji Richie Rich anatarajia kuachia filamu yake mpya itakayo kwenda kwa jina la Uyoga. Katika filamu hiyo Rich amekutanisha wasanii wakali akiwemo Hatman, Rachel, Barafu, Libert,Miss Kinondoni pamoja na Miss Arusha wote wakiwa mwaka 2011.
Hatman |
Sudi na mr Kupa |
Libert |
Warembo wakiwa kwenye Make up |
Miss Kinondon na Miss Arusha |
Rachel |
No comments:
Post a Comment