Familia ya Cloud 112 ilikuwa ikifurahia siku ya kuzaliwa kwa Mrs Cloud 112, ambaye aliifanyia maeneo ya nyumbani kwake anapoishi maeneo ya Mwananyamala. Cloud 112 aliisherekea siku yao akiwa na mwanaye mpendwa Prince Nabil 'Cloud junior' siku yaa tarehe 12 May, wakati huo Nabil alikuwa pia akitimiza miezi 2 na siku kadhaa. |
Beautifull Family mashallah Mwenyezi Mungu awape upendo wa daima milele Ameen
ReplyDelete