Cloud 112 akiwa na maalim Shefu Sharifu Hamad wakiingia katika ukumbi wa Safari Bwawani |
Makamu wa raisi wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Sefu Sharifu akiwa na Isssa Mussa Cloud 112 |
Steven Nyerere ndani ya ukumbi wa Safari bwawani |
Kambarage wa Step Entertaiment akifurahi sana |
Watoto wa madrasat wakijiandaa kuingia kwenye ukumbi kwaajili ya kutoa burudani. |
Chopa mchpanga, akiwa ndani ya vazi la kanzu |
Pacha wa Cloud 112, Hostadhi Kharifani akisikiliza hotuba ya mgeni rasmi maalimu sefu sharifu Hamadi |
Wema na Jb wakisikiliza kwa pozi. |
Irene Uwoya akiwa na Chopa kwa pembeni kidogo |
Mamaa Lolaa akinunua Cd ya filamu ya TOBA kwa njia ya mnada kwa shilingi laki mbili taslim bin keshi. |
Mgeni rasmi akiwa na wasanii ambao waliigiza filamu hiyo pamoja na viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar |
Wasanii wote wa Bongo Movie walipiga picha ya pamoja katika kukamilisha uzinduzi wa filamu ya Toba |
Meneja wa kampuni ya Cy & Cl Company, Cloud 112 akimkabidhi Cd ya filamu ya TOBA , mgeni rasmi makamu wa raisi wa kwanza Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment