Mwanamuziki
Hensy Sameer 'Mr Blue' juzi kuamkia jana amefanikiwa kupata mtoto wa
kiume aliyempa jina la Sameer, ambaye amezaa na mpenzi wake wa muda
mrefu Wyda. Wakati huo huo msanii huyo ameachia video ya wimbo wake
mpya wa Loose Control ambao amemshirikisha Majol Power. Amesema katika
video hiyo amekuja tofauti sana kuanzia mavazi pamoja na staili ya
uimbaji. | |
|
|
No comments:
Post a Comment