Tamasha la Waandishi lililofanyika jana ilikuwa burudani kubwaa baada ya kukutana kwa waandishi kutoka vituo mbalimbali. Mgeni rasmi katika bonanza hilo alikuwa Waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta, huku waandishi wakijumuika katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira na boxing.
Pia wasanii wa muziki wa kizazi kipya TMK Wanaume Family na Mkubwa na Wanawe wote kwa pamoja wakiongozwa na Mh. Temba, waliweza kutoa burudani.
Pia kwa upande mwingine bendi ya Fm Academia nao walitumbuiza.
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Sunday, March 25, 2012
Tamasha la Waandishi jinsi lilivyofana katika picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment