Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Saturday, March 3, 2012

Kijana KANUMBA aingiza Filamu katika tuzo GHANA

Ukijituma lazima matunda utayaona...



Kijana Kanumba The Great amefanikiwa kuingiza filamu yake ya DEVIL KINGDOM aliyomshirikisha Nouah Ramsey wa kutoka Nigeria katika tuzo za Tamasha la Kimataifa la Filamu la Nchini Ghana lijulikanalo kama FESTIVAL OF FILM AFRICA linalotarajia kufanyika Tarehe 1 March hadi tarehe 4 jijini Accra Ghana



Hongera Kijana Mungu akubariki.

Haluaaaaaaaa!

No comments:

Post a Comment