MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Sunday, May 27, 2012
Mambo yaharibika Zanzibar
Friday, May 25, 2012
Familia yenye upendo wakisherekea pamoja siku ya kuzaliwa kwa Mrs Cloud 112
Dogo Aslay kuachia video ya tatu
Dogo Muu akiwa na Aslay |
Aslay dogo Muu na H number |
Stive Nyerere azindua kwa kupelekea msaada watoto yatima
Mwigizaji wa filamu nchini Stiven Nyerere akishirikiana na Steps Entertaiment wameizindua filamu ya Mwalimu Nyerere kwa njia ya kutoa msaada katika kituo cha Maunga, kilichopo Ananasif Kinondoni jijini Dar es salaam ilikuenzi jina hilo. Stive alisema kufanya hivyo ni kama njia ya kumuenzi baba wa Taifa hili, kwani yeye alikuwa akipenda sana watu jambo ambalo anaamini hata yeye akifanya hivyo ni zawadi kubwa wa muasisi huyo. Stiven anasema alipofika Butiama kwa mwalimu, alikuta watu wengi wakiwa na hamu ya kumuona mtu ambaye anaitwa Stive Nyerere jambo ambalo walifurahi sana kumuona. Filamu ya Mwalimu Nyerere inatarajia kuingia sokoni na kampuni ya Steps Entertaiment siku ya ijumaa ya tarehe 26 May. |
bibi mwenye kituo, Bi Zainabu Bakari |
Cpwaa alenga soko la nje
Cpwaa akiwa amepozi kwenye gari maeneo ya Leaders club |
Subscribe to:
Posts (Atom)