Designer wa mavazi nchini ambaye amekuwa
akiwatoa chicha wasanii mbalimbali, wakati wa kufanya show zao Martin
Kadinda ameamua kufunguka kuokana na tuhumza zake kwa Lulu na kusema
hiiii....
Martin
kadinda Lulu Michael ni mdogo wangu nimejuana na Lulu yapata miaka mitano toka
tukiwa shule wakati anaanza form one na mimi nikiwa form 6 pale Perfect visio high
school. Kipindi chote Lulu amekuwa mdogo wangu na mtu wa karibu, ambaye mara
nyingi amekuwa akinihusisha katika swala lake
ikiwepo ubunifu wa cover ya movie yake iitwayo "foolish age".
Hii ni kutokana na kuniamini kwake na mimi pia kumwamini na
kumwekaa karibu yangu nikitambua kuwa ni msichana mdogo mwenye ndoto na malengo
na maisha yake...hilo lilinifanya nimwone ni zaidi ya rafiki kwangu kwakuwa
nilikuwa namlea katika mazingira ya kumuonesha njia iliyo sawa..
Nasikitika siku moja kabla ya kukumbana na hili balaa
alilonalo alikuja ofisini kwangu akihitaji nimshauri nini avae katika Kili
Music Awards.. aliniambia Martin natamani sana kuonekana tofauti, nataka
nisivae mavazi mafupi kam awalivyonizoea watu, miaka inaenda na napaswa
kujitambua kama mimi sasa ni dada na nina watu wanaoniangalia kama Role Model wao. | | |
No comments:
Post a Comment