Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Monday, May 21, 2012

FLAVIANA MATATA KUTOA MSAADA KUMBUKUMBU YA MV BUKOBA


Flaviana-Foundation-Drop-Banner-Small.jpg

Flaviana Matata
Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata amekuja nchini akitokea nchini Marekani ambako ndiko yaliko makazi yake kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa VIFAA YA KUOKOLEA MAISHA MAJINI (life vest) ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo, anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo leo jumatatu ya 21 May jijini Mwanza.

bango+la+mv+bukoba.JPG.jpg


makaburi+ya+mv+bukoba+(5).JPG.jpg
Baadhi ya makaburi ya watu waliokufa kwenye ajali ya MV BUKOBA

No comments:

Post a Comment