Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Saturday, May 5, 2012

Shetta aupiga stop ubachera

Mwanamuziki  Nurudin Bilal almaarufu kama Shetta, King Muswati au  prezda wa Dastamina ameamua kuachana na chama la ubachelaa na kuamua kuoa .  Shetta  ameng,oa jiko leo hii alfajiri na mtoto huyo anajulikana kwa jina la Laila ambaye alikuwa mjamzitona hakutaka kuzaa mtoto akiwa nje ya ndoa.  Hii ni siku chache kwa mwanamuziki huyo tangu atoe track yake mpya iliyokwenda kwa jina la Nidanganye ambao kwa sasa umeshaaanza kuwa Hit, katika media mbalimbali hapa nchini.   Katika wimbo huo Sheta alimshirikisha Diamond  Platnum, na kufanya wimbo huo uzidi kushika kasi hadi hapa alipofikia kuamua kuoa.  Shetta anasema msichana wake huyo ambaye kwa sasa ameshakuwa mkewe ni wa muda mrefu na ndiyo maana ameamua kufunga naye ndoa.

No comments:

Post a Comment