Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, May 18, 2012

Wasanii mbalimbali jana walikusanyika katika ukumbi wa Bwawani katika kusindikiza uzinduzi wa filamu la TOBA ambayo ilizinduliwa na makamu wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Maalim Sefu Sharif Hamadi, ambapo pia iliudhuliwa na Waziri wa utamaduni na michezo Zanzibar Said Ally Mbarouk, mkuu wa mkoa Mjini magharibi Abdallah Mwinyi na viongozi wengine wa juu katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Pia filamu hiyo ili zinduliwa na madrasat mbalimbali za Zanzibar, na dua mbalimbali kutoka kwa mashekh wa Zanzibar.

Cloud na Hatman Mbilinyi na wa pembeni ni diwani wa mji mkongwe Zanzibar
Wasanii wakiingia ukumbini wa Salama Holl Bwawani, akiwemo Wema Sepetu, Vicent Kigosi na J.b



No comments:

Post a Comment