Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Saturday, May 5, 2012

Bacdad amalizakesi na Mexicana

Mwanamuziki ambaye kibonge na mwenye mtindo wake wa kipekee  pindi anapokuwa jukwaani yaani lazima atafute sehemu na kukaa ndipo anapoimba vizuri hapoa anaweza kukaa hata juu ya spika, Bacdad amesema mahakama ya mwanzo juzi imemruhusu rasmi kuuza T sheti, zenye chata la Mexicana Lacavera ambalo mwanzo wenzake walimfikisha mahakamani hapo kwa lengo la kutaka asiitumie nembo hiyo ya kundi kwa manufaa yake.

Hata hivyo mwanamuziki huyo hakutaka kuongea zaidi ila alisema kwa sasa Mexicana imerudi tena, baada ya kuvunjika na sasa ipo chini ya Mesen Selekta , na yeye tayari wanaelewana na msanii mwenzake  kutoka katika kundi hilo la Mexicana anayeitwa  Dick.

No comments:

Post a Comment