Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Sunday, March 25, 2012

GUMEGUME katika maandalizi


Mwanamuziki Elias Barnaba, yupo mbioni kuachia video yake mpya ya Gumegume ambayo inaonekana kuwa tayari na ameshaanza kuchukua picha katika maeneo mbalimbali ikiwemo Nyumbani Lodge.

Mwanamuziki huyo amesema video hiyo anatarajia itakuwa kali kuliko kawaida ya watu walizozizoea...









Tamasha la Waandishi jinsi lilivyofana katika picha



Tamasha la Waandishi lililofanyika jana ilikuwa burudani kubwaa baada ya kukutana kwa waandishi kutoka vituo mbalimbali. Mgeni rasmi katika bonanza hilo alikuwa Waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta, huku waandishi wakijumuika katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira na boxing.
Pia wasanii wa muziki wa kizazi kipya TMK Wanaume Family na Mkubwa na Wanawe wote kwa pamoja wakiongozwa na Mh. Temba, waliweza kutoa burudani.
Pia kwa upande mwingine bendi ya Fm Academia nao walitumbuiza.
























Saturday, March 24, 2012

TOBA FILAMU KUZINDULIWA ZANZIBAR 18,5,2012

Issa mussa khamis ; Cloud 112 amesema kuwa filamu ya Toba tayari imekamilika  kwahiyo anawapa
taarifa wadau na wapenzi wa filamu za Tanzania kuwa filamu hiyo   itazinduliwa visiwani Zanzibar na
kupatikana  nakala hapo hapo  siku ya onesho, Ndani ya ukumbi maarufu ,Ngome kongwe Zanzibar
Sasa hebu tuone picha kadhaa za filamu ya Toba wakati wa maandalizi karibu 

                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                              
                                                 
                                             

       

Saturday, March 17, 2012

Part 2 ndo hiii.....

Nimesema siongei kitu kwenye Picha hizi we endelea tu kukamua mimacho ukiwa na la kuuliza we Comment....


















Mwaka mmoja wa Bongo Movies wafana

Siku ya jana kwa wale ambao walikuwa hawajui nini kilichotokea kulikuwa na Tafrija ya Chama cha wasanii Tanzania Bongo Movie Kufikisha mwaka mmoja toka kianzishwe. 

Yafuatayo ni matukio ya Picha kwa wale ambao hawakuwepo, haya Endelea...


















Usikae mbali bado nyingine nyingi tuu, hii ndo kwanza Part 1......