Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, March 8, 2012

BONGO MOVIES CLUB

Kushangilia ushindi  wakunyakua kikombe dhidi ya wapinzani wetu wanamuziki haaluuuaaaaa


 Ilikuwa ni siku ya kuwachangia ndugu zetu waliopata mafuriko ya mvua, Mechi hiyo ilichezwa
katika Uwanja cha Taifa  na matokeo yalikuwa ni mabao 4 - 3 ilikuwa patashika nguo kuchanika


  Hapa Ray akikabidhiwa kikombe na mgeni rasmi yeye ndiye nahodhaa wa timu yetu ya Wasanii

  
hapa Cloud  akiwa anasalimiana na mgeni rasmi na Nyerere akisalimiana na kamanda Kova

       hapa upande wa kushoto ni Barafu na kulia Cloud 112 nyuma Chekibud na mfadhili wa timu 
                                                                                    

                                                                                                                                             

No comments:

Post a Comment