Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, May 3, 2012

Mpiga drum wa Twanga apata ajali

Taarifa ya kuskitisha ni kwamba mpiga drum wetu na Stagemaster  James  Kibosho amepata ajali ya gari jana usiku wakati aki drive kurejea nyumbani kwake. hali yake kwa sasa inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu. gari aliyokuwa ana drive ndiyo imeharibika sana. tumuombee kwake manani ampe nafuu haraka iwezekanavyo

1 comment: