Msanii linex wengi wanapenda kumwita "mjeda"
ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "aifora', ikiwa ni
single yake ya 3 kuachia mwaka huu tangu uanze, ngoma yake ya kwanza kuachia
ilikuwa "macho yangu juu" baada ya hii ameachia single
nyingine inaitwa "nitaificha wapi" single ambayo
amemshirikisha msanii diamond ambayo inafanya vizuri sasahivi kwenye vituo
mbalimbali vya redio, linex ameachia mzingo mwingine matata sana.....hakika
wimbo huu ukihusikia utakukuna sana....wimbo ambao utakuja kufanya vizuri sana
wimbo huu mpya ambao unaitwa "aifora" umesimamiwa na producer
anayeitwa "fundi samweli". haya kazi kwenu wasikilizaji
na mashabiki wa "mjeda linex" na mkae mkao wa kusubiri
video yake ya wimbo huu aifora..!
wimbo :- aifora
mtayarishaji wa muziki :- fundi samweli
msanii : linex
|
No comments:
Post a Comment