Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Tuesday, April 3, 2012

Ujio wa filamu ya Maisha

Haya wale wapenzi wa filamu zangu,baada ya kumaliza filamu ya TOBA, ambayo natarajiakuizindua mjini Zanzibar, sasa hivi nawaandalia kitu kipya ambacho kinakuja kwa jina la MAISHA. Naamini itakuwa ni miongoni mwa filamu ambazo zitakuja kufanya vizuri, kutokana na vipaji vipya ambavyo nimefanya navyo kazi kadhaa na kuona uwezo wao.
Moja ya location nikiwa kwenye kituo cha polisi maalufu kama Sero, nikiwaza si unajua katika maisha kuna mambo mengi, ambayomwanaadam yanakufanya ujihisi kama vile umesuswa na mungu wako.

Barafu akitupa maelekezo, huu ndiyoudhaifu wa mwanaadam hata kama stori utaandika mwenyewe lakinikuna kipindi unasahau Script na kuomba ukumbushe kidogo
Hata tukiendelea kukamua nikiwa na Esha Salm, pamoja na Marry Osward
Kabla hatujaanza kazi, kwanza nilihakikisha kila mmoja anajua umuhimu wa jukumu lake lilomleta pale
Hawa ni maswahiba wangu wa karibu sana,ni Libert na barafu,nao wamo kwenye Maisha, vijana wanafanya kazi kucha kutwa.... hakika hawa ni vijana wa kazi


Pia sikusahau wasanii wakongwe, ambao wamedumu kwa muda mrefu kwenye tasnia hii
Afande Embe naye alikamua vizuri, hebu muangalie alivyopendeza kwenye mavazi ya polisi
Kama nilivyosema wakongwe nao pia walikuwepo, huyu ni mzee maarufu sana kwenye filamu anaitwa mzee Msisiri
 
 kuna muda tukichoka huwa tunafanya hivi ilikulea hali tofauti, hebu angalia hii video harafu  utamu wote unakuja.
Filamu hii ni funzo kwa wote, kaa mkao wa kula inakuja............... 
COMING SOON



No comments:

Post a Comment