Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Saturday, April 7, 2012

MUNGU AILAZE ROHO YA KANUMBA MAHARA PEMAPEPONI... amin

Jana usiku kuamkia leo siku ya juma mosi msanii mwenzangu, Steven Kanumba amefariki dunia nyumbani kwake wakati akikimbizwa katika Hospitali ya Muhimbili, baada ya kusadakiwa amejigonga akiwa ndani kwakwe. Sisi kama wasanii tunaomba amani na utulivu, ili tuweze kumfikisha msanii mwenzetu mahari pema peponi ... Amini





No comments:

Post a Comment