Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Tuesday, April 3, 2012

Bibi cheka kuimba kwa mara ya kwanza Pasaka

Mwanamuziki mzee kuliko wote katika muziki wa kizazi kipya, Bibi Cheka anatarajia kufungua Pasaka katika mkoa wa Morogoro. Mwanamuziki huyo amesema anafurahi sana kufanya show hiyo,kwakuwa kwake huenda akaifanya kama vile Show ya kwanza tangu alipoanza kuimba. Amewaomba wakazi wa Morogorokujiandaa kwani ujio wake wa wakati ni mkubwa kwakuwa anataka kuwafanyia Suprise. Katika tamasha hilo pia atakuwepo mwanadada kutoka Bongo Move ambaye kwasasa anatikisa kwenye muziki kama dada dume 'Shilole' Aslay, Ferooz, Nurudin, na wasanii kibao wakiwa chini ya Mh Temba kutoka Tmk Wanaume Family

Katika show hiyo ambayo mchana wa Pasaka watu wote watakusanyika pale uwanja wa Jamuhuri kwaajiliya kuwaona wasanii kibao

pia kuna zawadi kibao zitatolewa kwa siku hiyo,kama vile Tv, madaftari na vingine kibao kwa mtoto ambaye ataweza kuimba vizuri wimbo wa Naenda kusema ambao umeibwa na Dogo Aslay..

No comments:

Post a Comment