Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Tuesday, September 18, 2012

Mzee Small alazwa tena

Mwigizaji nguli wa muda mrefu katika tasnia ya filamu za vichekesho nchini Mzee Small amelazwa tena kufuatana na ugonjwa wake wa presha katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya kulazwa kwake ili sambaa leo asubuhi na ndugu zake za karibu, kwamba msanii huyo kwa sasa afya yake si nzuri sana na yupo hospitalini hapo.

No comments:

Post a Comment