Mwigizaji nyota wa filamu nchini Issa Mussa 'Cloud 112' kupitia kampuni yake ya CY & CL Company, hivi sasa wapo kwenye mikakati ya kumalizia filamu ya FUNGATE, fialamu ambayo huenda ikawa tofauti sana na filamu zingine, kwakuwa hii sehemu kubwa imefanyika hotelini ambapo Fungate hiyo ilienda kuliwa. Ni kisa cha mapenzi cha muda mfupi lakini kilichojaa vioja vya kila aina kutoka kwa Cloud 112, Libert , Batuli na mwanadada Manka ambaye anaigiza kama mke halali wa Cloud 112 kwa jina la Lui.
|
Batuli akiwa kwenye kujiremba |
|
Manka 'lui' akivuta hisia |
Batuli na Libert
hili ndilo kundi zima linaloifanya filamu hiii
Cloud 112 akiwa kwenye pozi na Batuli
Heee!! Chuma hiki,
No comments:
Post a Comment