Mwigizaji wa muda mrefu Waridi ambaye aliachana na sanaa ya uigizaji na kujikita zaidi kwenye ulokole, anatarajia kurudi upya kwenye tasnia ya filamu. Waridi alisema alimgeukia mungu, baada ya kuona ameitumikia sanaa kwamuda mrefu, hivyo anajipanga kurudi kwa mtindo wa pekee kwaajili ya kufanya mambomakubwa zaidi kwenye tasnia hiyo.
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Wednesday, September 12, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment