MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Thursday, September 27, 2012
Chazi Baba akana ya Lulu
Mwanamuziki Chazi Baba amesema hausiki katika stori iliyoandikwa kwenye magazeti kuhusiana na yeye kwenda kujitambulisha kwa kina Elizaberth Michael maarufu kama Lulu, ambaye kwa sasa yupo Lumande kwa tuhuma za kusababisha kifo cha nguli wa filamu Tanzania Steven Kanumba. Chazi alisema kwamba huo ni uzushi mtupu, kuna mtu ambaye alizifikisha habari hizo kwa umbea wake, lakini kwa yeye hawezi kufanya kitu kama hicho, na kusema hausiki hata kidogo na upuuzi huo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment