mwanamuziki ambaye amepata umaarufu kwa muda mfupi, Diamond Plutnumz juma mosi hii alikuwa akifanya usaili wa Audition katika ujio wa cideo yake mpya ambayo amesema itakuwa Exclusive. Diamond alisema lengo la kufanya hivyo ni kutoa ajira kwa vijana wenzake, kwakuwa watu wengi wamekuwa wakiwatumia watu kwenye video zao, wakiwa hawastiahili kuwepo. Alidadavua kwa kusema unaweza kumkuta mtu akiwa kwenye kazi zake kama kuuza nyanya na kumuomba aonekane kwenye video, lakini yeye anajipanga kila mtu awe amepangwa kwaajili ya kazi hiyo na sio kuokoteza mitaani.
Video hiyo inatarajia kutengenezwa na kampuni ya I View Media, ikisaidiwa na Ally.MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment