MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Friday, August 17, 2012
Tuesday, August 14, 2012
TBL chini Gland Mult yafutulisha wasanii
Kampuni ya biaTBL inayozalisha kinywaji cha Gland Multa, leo walikuwa wakifutulisha wasanii na wadau mbalimbali wa kampuni hiyo. Mkurugenzi wa masoko wa kampuni hiyo, Mr Fimbo aliwataka wadau wote kushirikiana, hususani wasanii na wadau wengine wa kampuni hiyo. Wasanii mbalimbali wa Bongo Movie waliudhulia ghafla hiyo, akiwemo Cloud 112, Jb, Hatman, Aunt Ezekiel pamoja na wasanii wengine.
Antie Ezekiel akiwa kwenye futari, baada ya kujiunga na uislam na sasa anafunga.
Jacob Stephan akipata futari
Cloud 112 akipata futari
Hatman na Jb
Mkurugenzi masoko wa bia ya kilimanjaro, George Kavishe
Antie na Cloud nje hoteli wakati wakijiandaa na kuondoka
Antie Ezekiel akiwa kwenye futari, baada ya kujiunga na uislam na sasa anafunga.
Jacob Stephan akipata futari
Cloud 112 akipata futari
Hatman na Jb
Mkurugenzi masoko wa bia ya kilimanjaro, George Kavishe
Antie na Cloud nje hoteli wakati wakijiandaa na kuondoka
penzi la Kiza mwisho wa matatizo
Baada ya kufunika katika filamu ya kidini ya TOBA, kisha sasa kutoka na TRIPLLE L, kampuni ya Cy & Cl Company, inakuja na filamu ya kichawi ambayo haikuwahi kutokea hapa nchini ya PENZI LA KIZA. Ni filamu ambayo imejaa matukio ya ajabu ambayo yamekuwa yakisumbua jamii kila kukicha. Ni filamu ambayo ni ya kishirikina, iliyobeba mandhari ya kimapenzi. Huenda ikawa filamu ya kichawi na ya kusisimua kuliko filamu zote zilizotoka mwaka huu, na hata kama ipo basi huenda isifike katika kiwango ambacho filamu hii ilifikia. Ni ya kisasa, na yenye mvuto wa aina yake..... Si ya kuikosa namba moja na mbili ni PENZI LA KIZA.
Super Nyamwela ala shavu Finland
pia kiongozi wa bendi hiyo Ali Choki alisema hivi karibuni anatarajia kuzindua albamu yake katika sikukuu ya Idd, na kutangaza jina la albamu hiyo ambayo itaakuwa na nyimbo saba.
Banza Stone pia aliongeza kwa kusema, baada ya kuzinduliwa kwa albamu hiyo atatunga wimbo mpya
Monday, August 6, 2012
Machapa watatu wajipanga kivyao
BENDI ya dansi nchini ya Mapacha Watatu, kuondokewa na
mwanamuziki wao Kalala Junior, wameachai wimbo mpya wa Ona Naonewa huku
wakijiandaa na ujio wa albamu yao ya pili.
Mmoja
wa wanamuziki wa bendi hiyo Jose Mara, alisema kwamba wimbo huo wamemshirikisha
Ali Kiba pamoja na Kharidi Chokoraa utakuwa kwenye albamu hiyo ambayo itakuwa
na nyimbo 7.
Aidha
alisema kwamba jina la la albamu hiyo, amemwachia Chokoraa kwakuwa albamu ya
kwanza alishatoa yeye jina, pia alishatuka wimbo kama usio wa baba na huu wa Ona
naonewa.
“Ujue
kupeana nafasini jambo la muhimu, hivyo jina
la albamu hii itatoka katika wimbo ambao atautunga yeye” alisema.
Pia
alisisitiza kusema bendi hiyo, haitachukua mwanamuziki mkongwe kuogopa lawama,
ila itachukuwa wanamziku chipukizi.
Miliki wa Twanga Pepeta akana kuongelea bendi na Ramadhan
Mmiliki wa bendi ya Twanga Pepeta Asha
Baraka, amekana kwamba hakuongea lolote na gazeti lolote kuhusiana na
bendi yake ya Twanga Pepeta la kuhusiana na jinsi inavyoendelea na
ratiba yake katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani Kareem. Asha alisema
hataki kugombanishwa na dini yake, na magazeti kwakuwa yeye ni muislam
kamili. Aidha amesema yanayoandikwa kwenye magazeti hayo, yeye wala
hausiki na hajawahi kuongea, kwani anaamini atakapoongelea suala hilo
atakuwa anakiuka maadili. Mwisho amedai kwamba hayo yote atakuja
kuongelea baada ya mfungo wa Ramadhani Kareem huu kuisha.
Bonface atoka na Mike tee
BAADA YA KIMYA KIREFU TANGU AACHIE ULE WIMBO WAKE WA “ULISEMA” AKIMSHIRIKISHA MIKE TEE (MNYALU) AMBAO
ULIFANYA VIZURI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NA TELEVISION.
BONYFACE A.K.A HANDSOME BOY…A.K.A KIDUME BAADA YA KUHAMA MJI WA
MOROGORO NA KUHAMISHIA SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI HAPA DAR TAYARI AMEACHIA
WIMBO MATATA SANA UNAOKWENDA KWA JILA LA “BADO MTOTO” KAZI MZIMA
IKIFANYWA CHINI YA PRODUCER MACHACHARI MENSEN SELECTA KUTOKA STUDIO ZA
STUD DEFFETARTY. AKIWA CHINI YA LEBO YA MENSEN SELECTA DEFFETARTY
MUSIC. BONYFACE PAMOJA NA PRODUCER WAKE WAPO CHIMBO KUPAKUA MAWE
MENGINE AMBAYO YATAACHIWA HIVI KARIBUNI. USHAURI NA MAONI JUU YA WIMBO
HUU, UTAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILI NA KWA HAMASA KUBWA ILI KUKUZA
MUZIKI WETU WA HAPA TANZANIA. KWA MAWASILIANO ZAIDI NA MSANII MWENYEWE
ANGALIA PROFILE YAKE HAPO CHINI :
NAME : BONFACE MATEZA
JINA LA KISANII : BONY FACE
WIMBO : BADO MTOTO
STUDIO : STUD DEFFETARTY
MTAYARISHAJI : MENSEN SELECTA
Saturday, August 4, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)