Msanii Linex Sunday Mjeda aka The V.O.A ameamua kufungua ukurasa
wa pili wa kipaji ambacho hajawahi kukionesha cha uigizaji, hivi
karibuni ataonekana katika filamu mpya ya muigizaji wa bongo movie Aunty
Ezekiel inayoitwa ‘MWAJUMA’.
Kwa mujibu wa tovuti ya bongo5,
linex ameeleza kuwa filamu ya Mwajuma inahusu mwanadada aliyekuwa na
maisha ya chini akiwa mama ntilie na baadae kuja kufanikiwa na kuanza
maisha ya kihuni hususani kubadilisha wanaume kama nguo
Filamu hii inatarajiwa kutoma mwishoni mwa mwezi ujao
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment