Tamasha la European film Festival 2013
Eff 2013
Tamasha la hili limekusudia kuinua tasnia ya filamu ya Tanzania
katika kujifunza utamaduni kutoka Ulaya katika njia ya filamu katika
kuimalisha na kukuza utamaduni wan chi husika hivyo ni njia nzuri kwa
watengeneza filamu wa Swahiliwood kushiriki katika kujifunza zaidi
utengenezaji bora wa filamu.Filamu nzuri na za kusismua kama vile Limbo, Kings, Tea or Electricity, The Great bear na nyinginezo zitaonyeshwa katika kujenga na kutoa nguvu sambamba na elimu burudani kutoka katika filamu husika, ni tamasha muhimu sana kushiriki kujionea tasnia kutoka Ulaya ilivyopiga hatua, KINGILIO NI BURE unaweza kutembelea
No comments:
Post a Comment