Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, June 7, 2012

Zuku walivyomwaga noti kwenye ZIFF

ampuni ya ZUKU Tv wameamua kushiriki katika kukuza tasnia ya filamu nchini kwa kuingia katika kuzamini, Tamasha kubwa na la kimataifa nchini la Filamu  Zanzibar linalojulikana kama Tamasha la Majahazi au Zanzibar Film Festivel 'ZIFF'. ZUKU imetia sahihi ya mkataba wa Dola Milioni moja. Sherehe hiyo  iliudhuliwa na wasanii mbalimbali wakiwemo wa  filamu wanamitindo na muziki wa bongo Fleva.
Jack Wolper




No comments:

Post a Comment