Leo mapema tumepokea taarifa za kifo cha Baba mzazi wa Msanii nguli wa Filam nchini Tanzania
Wema Sepetu Mzee
Issac Sepetu (pichani), Ambae alikua anaumwa na amelazwa katika
hospitali ya TMJ jiji Dar,Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Band Ya
#COCONUT BAND ya Zanzibar Bwana
RAY
ambae ni ndugu na wema sepetu ba mkubwa kwa ba mdogo, alisema mwili wa
mzee sepetu kwa sasa umeshapelekwa katika Monchwari ya hospital Kuu ya
Muhimbili:
Alipotakiwa kusema kuhusu wapi na nilini atazikwa mzee huyo: Bw; Ray alisema
|
Ray Mkurugenzi wa Coconut Band Zanzibar: |
''kwa
sasa tunawasubiri baadhi ya watoto wake waliyokuwepo marekani wafike,
na wengine waliyokuwepo ujerumani na tunatarajia watafika kwenye
jumanne, sasa wakifika tutazika kati ya juma nne au juma tano, na mzee
tunatarajia atazikwa kwenye shamba yake Visiwani Zanzibar iliyoko shamba
Mbuzini''
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment