Kama tujuavyo leo kuna mechi kali sana kati ya wapinzani wa jadi, SIMBA
na YANGA, ahadi kede kede zimewekwa na wachezaji pamoja ana mashabiki wa
timu hizo mbili, majigambo pia tumeyasikia kutoka kwa wachezaji pamoja
ana mashabiki wa timu zote mbili, lakini tunavyoamini sisi ni kwamba
mpira Dakika tisini,Kabla hujafika hebu chukua time kuangalia list ya
YANGA, itakayoingia uwanjani pamoja na Reserve wake hapa:
Heres Young Africans line-up to face Simba SC today:
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23
5.Kelvin Yondani 'Cotton' - 5
6.Athuman Idd 'Chuji' - 24
7.Haruna Niyonzima - 8
8.Frank Domayo 'Chumvi' - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Mrisho Ngassa - 17
11.Hamis Kiiza - 20
Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.Oscar Joshua - 4
4.Rajab Zahir - 14
5.Saimon Msuva - 27
6.Nizar Khalfani - 16
7.Jerson Tegete - 10
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment