Katika kile kinachoendelea mitandaoni, kuhusia na Stars wawili,
waliyowahi kuwa wapenzi hapo awali, ni kwamba eti wamerudiana, japo kua
Diamond alishatoa Tamko juzi kwamba hakuna mapenzi ya aina yoyote,
yanayo muhisha yeye na mwnadada wema lakin, Ghafla Picha za wawili hao
wakiwa Nchini MALAYSIA ambako Diamond alienda kufanya show Kipindi Flan
hivi zikaanza kuvuja,
Hebu na wewe pata kuzishuhudia picha hizo
ingawa Diamond amesema ni Filam Mpya ambayo amecheza yeye na wema, sasa
wewe ndio utakua Jaji: mimi simo::
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment