skip to main |
skip to sidebar
ANGALIA HAPA SEHEMU YA KWANZA YA KIPINDI CHA WEMA SEPETU
Kile kipindi kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa
filamu nchini , “Wema Sepetu Reality show” kwa mara ya kwanza kimeruka
hewani kupitia kituo cha TV cha EATV hapo jana.
Katika episode hii ya kwanza, Wema amejitambulisha nan kuelezea historia yake kwa ufupi kukusu yeye.
TOA MAONI YAKO HAPA:
No comments:
Post a Comment