HAPPY BIRTH DAY MTANGAZAJI WA CLOUD TV ZAMARADI MKETEMA:
Na mimi ningependa kuwa miongoni mwa wale ambao watamtakia Happy birthday Zamaradi Mketema:
Zamaradi Mketema ni Producer & Presenter wa show ya Take one (movie program) ya Clouds Tv /clouds FM Radio.. HAPPY BIRTHDAY TOAMAONI YAKO HAPA:
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment