Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Wednesday, July 4, 2012

Mzungu kutoka Uingereza ainoa THT

Producer na ambaye ni mtaalamu wa kufanya master ya muziki Matt Nicholson  kutoka pande za Uingereza, amesema kwa sasa anahitaji kufanya mambo makubwa kwenye tasnia ya muziki huo hasa kuwafua wasanii wa kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania 'THT'. Matt  tayari alishasingiza mikono yake katika kutengeneza kazi za wasanii kibao, akiwemo Amini, Barnaba, Linex na tayari alishafanya kazi na maproducer kibao akiwemo Tudd Thomas na Lamar. Hata hivyo amesema zaidi ya kuwa mtaalamu zaidi katika masuara ya Mastaring, lakini pia mkali katika masuala ya kutengeza beat za aina zote.


Matt

No comments:

Post a Comment