Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, April 5, 2013

Jimmy Mafufu na Mr Kupa waoa pamoja

Wasanii kutoka Bongo Movie Jimmy Mafufu na Kupo, wakiwa katika harusi yao wakati huo Issa Musa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa ndoa zote mbili. Harusi hiyo ya kiislam, ilifanyika eneo la Upanga Muhimbili, kwa mama maarufu kwa jina la mama Salma Mtambo. Katika harusi hiyo iliudhuliwa na wasanii kibao kutoka Bongo Movies akiwemo, Jb, Cloud, mama Loraa na wengine
 Mr Kupa akipeana mkono kwa lengo la kula kiapo cha kuozeshwa
 Jimmy Mafufu naye akiozeshwa kwa kupewa mkono
 Hostadhi Issa Mussa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa maharusi.
 Steve Nyerere akifuatilia kikao
 Mama Loraa hebu pata picha zaidi.








No comments:

Post a Comment