MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Thursday, April 18, 2013
Wednesday, April 17, 2013
Bi Kidude Afariki Dunia
Aliyekuwa nguli wa muziki wa mwambao Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, Bi Kidude amefariki dunia leo hii. Taaarfi zaidi kuhusiana na mkongwe huyo.
Saturday, April 13, 2013
Hivi ndivyo wasanii walivyomkumbuka Kanumba
Baada ya wasanii wa Bongo Movie kumaliza kusali misa na kupita
makabulini kwa marehemu Steven Kanumba walirudi wote Leaders Club,
kwaajili ya kuangalia uzinduzi wa filamu ya mwisho wa nguli hiyo. Katika
filamu ili ambayo iliandaliwa na Jack Wolper na kuzinduliwa na mama
Kanumba na meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda.
Wageni kutoka Ghana, waliudhulia ili kuonyesha ni jinsi gani walivyokuwa wakimkubali msaniii huyo mpaka kuamua kuja katika kumbukumbu yake.
Wageni kutoka Ghana, waliudhulia ili kuonyesha ni jinsi gani walivyokuwa wakimkubali msaniii huyo mpaka kuamua kuja katika kumbukumbu yake.
Bob Junior kumalizia matamasha Ulaya
Nyota wa muziki wa kizazi kipya mabye kwasasa anafanya matamasha yake katika nchi ya Ulaya, Bob Junior amesema matamasha hayo ndiyo yatakuwa matamasha yake ya mwisho kabla ya kurudi jijini Dar es salaam
Sunday, April 7, 2013
Bongo Movie wazuru kaabuli la Kanumba
Wasanii mbalimbali wa Bongo Movies leo walikutana kwaajili ya siku maalum ya kumbuka msanii mwenzao marehemu Steven Charles Kanumba. Katika siku hiyo ambayo iliambatana na missa fupi iliyofanyika kanisani, na baadaye kufika makabulini kwaajili ya kumsomea dua, kisha wasanii wote watakutana Leaders 'Club kwaajili ya uzinduzi wa filamu ya mwisho ya msanii huyo. Mungu ailaze roho ya marehemu Kanumba mahala pema peponi... AMIN
Balaa la filamu ya Selo
Hizi ndio picha za filamu mpya ya SELO, ambayo inatarajiwa kuja hivi karibuni chini ya kampuni ya Cy & Cy Company chini ya Cloud 112. Kwa upande wa filamu hii, ni miongoni mwa filamu ambzo zimetulia katika matukio makali na yenye mchanganyo wa picha wa kisasa. Hebu angalia baadhi ya picha za Scene za filamu hiyo ambayo inaongozwa na Cloud 112.
Hapa Big Matovolwa akiwa na Cloud 112, na kwa mbaaali Libert, wakijiandaa kuingia on Set.
Big akiwa na mwanadada Janny, ambaye alifanya kazi nzuri sana katika filamu ya Selo.
Kazi ilifika hadi kwenye ofisi za Tbc, ambapo napo makamuzi yaliendelea kama kawaida ili kuleta uharisi... hebu angali picha hizi kisha uniambie....
Sasa hapa ndipo mtu anapoingia ndani ya Selo, ili kujua nini kilimfanya kuingia ndani ya Selo hebu fuatilia filamu hii pindi itakapo toka hivi karibuni.
Kuna muda wa kufurahi kidogo, hapa ni Cloud 112, China Zaholo, Beka Makuka, Libert Msuya, Zakalia Baruti na mwanadada Janny.
China akitafakari jambo baada ya kusomewa Scene yake....

Subscribe to:
Posts (Atom)