MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Monday, July 23, 2012
Friday, July 13, 2012
Kigoma kuwaka moto Julai 17
Mwasiti |
Baba Levo |
Thursday, July 12, 2012
Ujio mpya wa OPG Majingx
TOKA PANDE ZA MBEZI BEACH YULE MSANII MACHACHALI AMBAYE ALISHAWAHI KUVUMA NA VIDEO KALI MWAKA JANA ILIYOKWENDA KWA JINA LA SINA JIWE ALIYEMSHILIKISHA LINEX NA QUICK ROCKER BAADA YA KIMYA KIREFU SASA AMEIBUKA NA NGOMA MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA "BURGER" ALIYEMSHIRIKISHA BECKA TITLE MTOTO WA B.O.B PANDE ZA KINO MZIGO UPO TAYARI NA UMETAYARISHWA NA PRODUCER R.NAME TUNAOMBA SAPORT ZENU |
Monday, July 9, 2012
Mechi ya Hisani ya kuchangia madawati yawa balaa
wasanii wa Bongo Movie wakiwa kambini |
Stive nyerere akiwa kambini |
Cloud 112 akiwa ametulia wakati wakiwa kambini |
Wakati wasanii wa Bongo Movie wapo kambini ndipo wakakutana na Wabunge wa Simba, hapa Jb akisalimiana na mbunge wa Kinondoni Iddi Azan. |
Halima Mdee akiwa kambini |
Subscribe to:
Posts (Atom)