Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, April 5, 2013

Ujio mpya wa Cloud 112 na Cy & Cl Company

Kampuni ya filamu ya Cy & Cl Company inatarajia kushusha kitu kikali zaidi ya ile ya mwanzo ambayo ilitikisa sana kwenye tasnia ya filamu. Kampuni hiyo chini ya Cloud 112, amesema filamu ya SELO, itakuwa moto wa kuotea mbali zaidi ya ile.

No comments:

Post a Comment