Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, April 5, 2013

Kajala, Wema na Prezo wala bata

 Baada ya siku chache kwa mwanadada Kajala kutoka jela kwa dhamana, hivi karibuni alikutwa na mdau wake wa karibu Wema Sepetu wakila bata pamoja na gwiji la muziki wa kizazi kipya nchini Kenya . Hebu pata uhondo wa picha wavyokuwa wakitokolezea


No comments:

Post a Comment