Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Friday, April 5, 2013

Party ya Harusi ya Jimmy Mafufu na Mr Kupa ilivyong'aaa


Baada ya harusi ya Mr Kupa na Jimmy Mafufu kwenda vizuri, siku ya jumamosi ilifanyika shughuli maalum kwaajili ya kusherekea kwa mwanzo wa maisha mapya kwa wasanii hao wa Bongo Movies. Party hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Urafiki wa Social Hall.
 Jimmy Mafufu akikata keki na mkewe kwaajili ya kulishana
 Hapa sasa akimlisha kwa njia ya mdomo
 Ukafika wakati wa Mr Kupa naye kukata keki


Cloud akifungua Shampeni

 Kwa upande wa wakinamama alifungua Jack Wolper


 Single Mtambalike
 Seleman Barafu
 Mambo a Kwaito kidogo
 Recho akiwa kwenye pozi


 Snura akiwa ametulia kwenye pozi

 Chuchu Hansi na Mohamed Gomesa wadau wa harusi
 Hapa mabibi harusi walikuwa wakipata chakula kidogo
 Jb ndani ya pozi, akiwa na futaha kibao.
 Single akiwa na Odama
 Shughuli ikaja kunoga pale mume wa Irene Uwoya alipokuja, Ndikumana maarufu kama Katauti.
 Mama Loraa aliamua kuwapongeza kwa kuwamwagia mafedha
Kazi kwenye kucheza sasa.

No comments:

Post a Comment