Wasanii kutoka Bongo Movie Jimmy Mafufu na Kupo, wakiwa katika harusi
yao wakati huo Issa Musa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa ndoa zote
mbili. Harusi hiyo ya kiislam, ilifanyika eneo la Upanga Muhimbili, kwa
mama maarufu kwa jina la mama Salma Mtambo. Katika harusi hiyo
iliudhuliwa na wasanii kibao kutoka Bongo Movies akiwemo, Jb, Cloud,
mama Loraa na wengine
Mr Kupa akipeana mkono kwa lengo la kula kiapo cha kuozeshwa
Jimmy Mafufu naye akiozeshwa kwa kupewa mkono
Hostadhi Issa Mussa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa maharusi.
Steve Nyerere akifuatilia kikao
Mama Loraa hebu pata picha zaidi.
Jimmy Mafufu naye akiozeshwa kwa kupewa mkono
Hostadhi Issa Mussa Cloud 112, akiwa kama shahidi wa maharusi.
Steve Nyerere akifuatilia kikao
Mama Loraa hebu pata picha zaidi.
No comments:
Post a Comment