MWIGIZAJI
mwenye mvuto wa kipekee nchini Wema Sepetu, ameitambulisha rasmi ofisi yake
ambayo atakuwa akipatikana na kufanya kazi zake za kifilamu katika kampuni ya
Endless Fame Film.
Naitwa Issa Mussa 'Cloud112' karibu kwenye blog yangu, ambayo nitakuwa nikikuleteeni stori mbalimbali zikiwemo za filamu zangu zinazokuja na zilizopita, na za watu wengine karibuni sana.
No comments:
Post a Comment