KIONGOZI wa
kundi la kudansi la nyumba ya vipaji Tanzania ‘THT’, Msami Giovann ‘Msami’ hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la
Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’ wa Marekani, ilikuwafunza mitindo ya Afrika
hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo
lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda
kutembelea katika jiji la Newyork.
No comments:
Post a Comment