Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika kundi la Kikosi cha Mizinga, Kalapina amesema kimya chake cha muda mrefu ni kutokana na kufanya uchunguzi wa maisha ya Dr Ulimboka, ambayo kwa sasa tayari ameshayafanyia fialmu ambayo anatarajia itatoka muda wowote. Kalapina amesemapia amefanya wimbo kwaajili ya filamu hiyo
MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment