BAADA YA KIMYA KIREFU TANGU AACHIE ULE WIMBO WAKE WA “ULISEMA” AKIMSHIRIKISHA MIKE TEE (MNYALU) AMBAO
ULIFANYA VIZURI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NA TELEVISION.
BONYFACE A.K.A HANDSOME BOY…A.K.A KIDUME BAADA YA KUHAMA MJI WA
MOROGORO NA KUHAMISHIA SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI HAPA DAR TAYARI AMEACHIA
WIMBO MATATA SANA UNAOKWENDA KWA JILA LA “BADO MTOTO” KAZI MZIMA
IKIFANYWA CHINI YA PRODUCER MACHACHARI MENSEN SELECTA KUTOKA STUDIO ZA
STUD DEFFETARTY. AKIWA CHINI YA LEBO YA MENSEN SELECTA DEFFETARTY
MUSIC. BONYFACE PAMOJA NA PRODUCER WAKE WAPO CHIMBO KUPAKUA MAWE
MENGINE AMBAYO YATAACHIWA HIVI KARIBUNI. USHAURI NA MAONI JUU YA WIMBO
HUU, UTAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILI NA KWA HAMASA KUBWA ILI KUKUZA
MUZIKI WETU WA HAPA TANZANIA. KWA MAWASILIANO ZAIDI NA MSANII MWENYEWE
ANGALIA PROFILE YAKE HAPO CHINI :
NAME : BONFACE MATEZA
JINA LA KISANII : BONY FACE
WIMBO : BADO MTOTO
STUDIO : STUD DEFFETARTY
MTAYARISHAJI : MENSEN SELECTA
No comments:
Post a Comment