Pages

MY NEW FILM TRAILER INAITWA ''DR MAX''

Thursday, May 30, 2013

UJUMBE WA CPWAA KWA WAPENZI WA ALBERT MANGWEAR:



Shukrani wadau wote mliokuja Leaders Club  jioni kwenye kikao cha mazishi ya ndugu yetu Albert mangwea! Familia yake, Maproducers,wasanii,Bloggers,Promoters,Friends and wadau wote..Finally tuna kamati maalum ( PFunk, Proffesor Jay, Jay Moe, Noorah,Mchizi Mox, Lady JayDee, DjChoka, Romeo Jons, Michelle, Nick Dizo, Mez B, nna wengine kibao) Pamoja na familia yake tutashirikiana bila mipaka na matabaka kumpumzisha ndugu yetu! fatilia mitandao ya habari kwa official news zaidi..Msiba ni Mbezi kwa goigi! kwa habari zaidi na Kuchangia msiba fuatilia vyombo vya habari! #TanzaniaMoja #WasaniiiPamoja #RIP Ngwea


TOA MAONI YAKO HAPA:

No comments:

Post a Comment